Apr 3, 2022
#TAZAMAl MSHINDI WA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHONI KULAMBA MIL 10
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony mtaka ametoa rai kwa wanariadha wa kitanzania kuchangamkia fursa ya mashindano ya mbio za nbc dodoma ambayo yanatarajia kufanyika julai 31 mwaka huu jijini humo Akiongea na waandishi wa habari jijini dodoma mtaka amesema wanariadha wanapaswa kubadiriki kifikra na kuyachukulia mashindano hayo kama sehemu ya kujipatia kipato Follow us